MSAADA VIFAA TIBA VYA UCHUNGUZI MAGONJWA YA SARATANI - MTWARA

Tawi la Mtwara lilipata fursa ya kukabidhi vifaa  kwa chama cha madaktari wanawake Mtwara manispaa kupitia hospitali ya wilaya likombe Na waliokabidhiwa ni Dk. Kelume Nyambi ambaye ni mwenyekiti wa kikundi,Afisa maendeleo ya jamii wilaya pamoja na meya wa manispaa ya Mtwara...Aliyekabidhi ni zuhura philemon Meneja Operesheni Zuhura Philemon

Location

Head Office 10th LAPF Towers,
Bagamoyo Road, Opp Makumbusho Village,
Kijitonyama,
P.O BOX 9300, Dar es salaam

Call Center

+255 765 767 683
+255 788 767 683
+255 658 767 683
+255 773 767 683

Email Us

info@tcbbank.co.tz,
callcentre@tcbbank.co.tz,