MSAADA WA VYEREHANI 20 - PEMBA

Mbunge wa Kojani Pemba na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Hamad Hassan Chande (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Meneja wa Tanzania Commercial Bank (TCB)  Tawi la Pemba Bw. Shomary Rimisho  mara baada ya Waziri kupokea  msaada Vyerehani 20 vya kisasa  vilivyotolewa  kwaajili yakusaidia wakina mama katika kujiendeleza katika kukuza uchumi wa Buluu visiwani Unguja, Ikiwa ni moja ya  mipango ya Benki katika kuwajibika kwa jamii (CSR), wengine pichani ni wamama wanufaika na maafisa kutoka Benki ya TCB. 

Location

Head Office 10th LAPF Towers,
Bagamoyo Road, Opp Makumbusho Village,
Kijitonyama,
P.O BOX 9300, Dar es salaam

Call Center

+255 765 767 683
+255 788 767 683
+255 658 767 683
+255 773 767 683

Email Us

info@tcbbank.co.tz,
callcentre@tcbbank.co.tz,